MTANZANIA WA KWANZA ALIYEPATIKANA NA VIRUSI VYA KORONA HUYU HAPA.
HUYU HAPA NDIYE MWANAMAMA ALIYEKUTWA NA CORONA VIRUS HAPA NCHINI, AMBAPO MWANAMAMA HUYO ALITOKEA BELGIUM, ANAITWA ISABELA AMBAYE NI MMILIKI WA SHULE YA UPENDO FRIENDS ILIYOPO MATEVES.
LAKINI PIA NI MWANAMAMA ANAYEMILIKI ACADEMY YAKE YA MICHEZO KWAAJILI YA KUKUZA VIPAJI VYA VIJANA .
AKIZUNGUMZA NA ARUSHA ONE RADIO MKOANI ARUSHA JANA AMESEMA KUWA ANAENDELEA VIZURI.
No comments